Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale amechaguliwa kwenye tuzo
za Ballon d’Or licha ya timu yake ya taifa ya Wales kutoshiriki kenye
fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil,Mbali na Bale kuna wachezaji
wengine 5 wa Real Madrid na wachezaji watano kwenye Ligi ya Uingereza.
Listi ya wachezaji kiume bora wa FIFA : Gareth Bale (Wales, Real
Madrid), Karim Benzema (France, Real Madrid), Diego Costa (Spain,
Chelsea), Thibaut Courtois (Belgium, Chelsea), Cristiano Ronaldo
(Portugal, Real Madrid), Angel Di Maria (Argentina, Manchester United),
Mario Gotze (Germany, Bayern Munich), Eden Hazard (Belgium, Chelsea),
Zlatan Ibrahimovic (Sweden, Paris St-Germain), Andres Iniesta (Spain,
Barcelona), Toni Kroos (Germany, Real Madrid), Philipp Lahm (Germany,
Bayern Munich), Javier Mascherano (Argentina, Barcelona), Lionel Messi
(Argentina, Barcelona), Thomas Muller (Germany, Bayern Munich), Manuel
Neuer (Germany, Bayern Munich), Neymar (Brazil, Barcelona), Paul Pogba
(France, Juventus), Sergio Ramos (Spain, Real Madrid), Arjen Robben
(Netherlands, Bayern Munich), James Rodriguez (Colombia, Real Madrid),
Bastian Schweinsteiger (Germany, Bayern Munich), Yaya Toure (Ivory
Coast, Manchester City).
Listi ya makocha bora wa mwaka: Carlo Ancelotti (Real Madrid),
Antonio Conte (Juventus/Italy national team), Pep Guardiola (Bayern
Munich), Jurgen Klinsmann (USA national team), Joachim Low (Germany
national team), Jose Mourinho (Chelsea), Manuel Pellegrini (Manchester
City), Alejandro Sabella (Argentina national team), Diego Simeone
(Atletico Madrid), Louis van Gaal (Netherlands national team/Manchester
United).
0 comments:
Post a Comment