credits: BIN ZUBEIRY
afrika
mpya
CAMEROON
imejiongezea matumaini ya kupata nafasi ya kucheza Fainali za Kombe la
Mataifa ya Afrika mwaka 2014, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya
Sierra Leone jioni ya leo.
Shukrani kwao, Leonard Kweuke aliyefunga dakika ya nne na Stephane Mbia dakika ya saba Uwanja wa
Ahmadu Ahidjo mjini Yaounde.
Cameroon
sasa inatimiza pointi 10, ikifuatiwa na Ivory Cost yenye pointi sita
kabla ya matokeo ya mchezo wake na DRC jioni ya leo.
Hali
mbaya kwa Sierra Leone ambayo baada ya mechi nne inabaki na pointi
moja. Timu mbili kila kundi zitajipatia tiketi ya kwenda Morocco mapema
mwakani.
credits: BIN ZUBEIRY
KUFUZU MATAIFA YA AFRIKA:CAMEROON 2- 0SIERRA LEONE
9:15 PM
No Comments
credits: BIN ZUBEIRY
0 comments:
Post a Comment