Watoto wa Stephen Keshi wameongeza matumaini yao ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika 2015 baada ya leo kuwafunga Sudan bao 3-1,magoli ya Ahmed Musa na Aaron Samuel katika kipindi cha pili yamewaokoa mabingwa hao wa Afrika
Nigeria hawakukata tamaa na Aaron Samuel aliongeza goli la pili kabla Musa hajamalizia kazi katika dakika ya 89.
Hata hivyo Nigeria bado ilihitaji ushindi ilikujikwamua kutoka mkiani mwa kundi hilo na kufika nafasi ya tatu juu ya Sudan, ili kufufua matumaini ya kuchez fainali hizo zitakazofanyika huko Morocco 2015.
0 comments:
Post a Comment