Goli la 'Counter attack' la Alexis Sanchez lilionekana kuwapa uhai Arsenal kabla ya Swansea kurudi na kusawazisha kisha kuongeza goli la pili wakiishinda Arsenal 2-1 katia uwanja wao wa Liberty Stadium.
Magoli ya Swansea yamefungwa na SigurĂ°sson dakika ya 75 na Gomis dakika ya 78, bao la kwanza likufngwa kwa mkwaju wa Free kick na la pili kwa kichwa, wakati lile la Arsenal lilitangulia kufungwa na Sanchez dak.63.
Katika mechi nyingine Sunderland wameshikwa shati na Everton wakiwa nyumbani kwa sare ya goli 1-1,Tottenham Hotspur wakafungwa 2-1nyumbani na Stoke City,magoli ya Bojan dak.6 na Walters dak.ya 33 kwa upande wa Stoke na lile la Tottenham likifungwa na N.Chadli dakika ya 77.Pia New Castle wameshinda ugenini wa bao 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion.
MATOKEO YA LEO KWA MECHI ZOTE:

0 comments:
Post a Comment