Klabu ya Real
Sociedad ya Uhispania imemtangaza David Moyes kama kocha wake mpya ikimpa mkataba wa miezi 18,kumrithi aliyekuwa kocha wao Jagoba Arrasate, ingawa Moyes mwenyewe ameshangazwa kwa kuwa kuna makubaliano madogo ambayo walikuwa hawajayamaliza.
Moyes mwenye miaka 51,amekuwa aijifikiria kwa muda mrefu kuhusu kuhamia katika timu hiyo inayojikongoja La Liga ikiwa na pointi 9 kati ya michezo 11 iliyocheza.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Moyes kurudi uwanjani tangu alipofukuzwa kazi mnamo mwezi April Mwaka huu.
David Moyes Kocha mpya wa Real Sociedad
Moyes akiwa na Rooney wakati alipokuwa Man United.
Aliyekuwa Kocha wa Real Sociedad Jagoba Arrasate
0 comments:
Post a Comment