Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea Jumanne ya leo ambapo itaziutanisha vigogo waubwa katika soka la ulaya; Liverpool watakuwa ugenini ujaribu kulipa kisasi kwa Real Madrid baada ya mechi ya awali kufungwa 3-1 nyumbani,Arsena watawakaribisha Anderlecht, Borussia Dortmund watakuwa wenyeji wa Galatasaray ambayo waliifunga 4-0 nyumbani kwao Italia.Mechi nyinginezo ni kama Ifuatavyo:
0 comments:
Post a Comment