Kikosi cha Morroco |
Morroco imeondolewa kuwa mwenyeji wa Fainali za Mataifa ya Afrika 2015(AFCON2015) na kuzuiwa kushiriki mashindano hayo.
Uamuzi huo umefanywa na shiriisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) baada ya Morroco kuomba uhairishwa kwa mashindano hayo kutoana na hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa ebola.
Iliyokuwa nembo ya mashindano hayo yaliyopaswa kufanyika Morroco |
Kamati tendaji ya CAF imefikia maamuzi hayo huo Cairo Misri siu ya Jumanne Novemba 11, na kusisitiza mashindano hayo yatafanyika kama ilivyopangwa.
CAF sasa watakuwa na kibarua cha kumpata mrithi wa Morocco katika Uenyeji huo, ambapo Algeria, Angola, Misri na Nigeria zinatarajiwa kuwa katika inyang'anyiro cha urithi huo.
0 comments:
Post a Comment