Katika nafasi hiyo Ngasa amefungana na wachezaji wengine akiwemo Haythem Juini wa Esperance ya Tunisia, Firmin Ndombe wa As Vita ya DRC, nad El Hedi wa Es Setif.
mpya
nyumbani
Mchezaji wa Timu ya Dar Young African amevunja rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa mfungaji bora katika ligi ya klabu bingwa Afrika, baada ya kuifungia timu yake mabao 6 katika msimu wa 2014.Ngasa alifunga magoli hayo wakati wakikutana na Komorozine ya Comoro.
MRISHO NGASA AWA MFUNGAJI BORA AFRIKA
7:38 PM
No Comments
0 comments:
Post a Comment